Video: Wema Sepetu afungukia madai ya kutoka kimapenzi na Mh Mbowe

Malkia wa filamu bongo, Wema Sepetu amekanusha kuwa na mahusiano na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe ambaye miezi michache iliyop...

Malkia wa filamu bongo, Wema Sepetu amekanusha kuwa na mahusiano na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe ambaye miezi michache iliyopita alihusishwa kutoka naye baada ya sauti zinazodhaniwa kuwa za kwao  kusambaa mitandaoni.

Wema amesema kuwa katu hajawahi kuwa na mahusiano na kiongozi huyo wa upinzani kwani ni mtu ambaye anamuheshimu sana na kuongeza kwamba sauti hizo zenye mazungumzo ya faragha zilitengenezwa na watu asiowafahamu wenye nia ya kumchafua.

Akifanya mahojiano na Mtangazaji wa Nirvana, Deogratius Kithama, Wema Sepetu amesema anashindwa kuelewa sauti  hizo zilipotokea kwani anamuheshimu sana Mh. Mbowe na heshima yake hiyo wakati mwingine inampa hali ya kumuogopa hivyo anaamini kitendo hicho kilitengenezwa na watu wenye nia ya kuwachafua kisiasa.
"I was shocked, sijui chochote kuhusu hicho kitu. Mimi mwenyewe sijui kilipoanzia na kwanza ninavyomuheshimu yule baba mpaka namuogopa sasa hili lilipotokea i was like hizi ni figisu. Ingawa sijakutana na Mbowe toka jambo hili kutokea kwa sababu yupo busy lakini viongozi wengine wa CHADEMA walinielewesha ni kwa nini watu wanafanya hivyo. Wema Sepetu

Wema ameongeza " Unajua hizi ni siasa. Huku ni upinzani na wengine ndiyo wapo madarakani so mambo kama haya ya kisiasa yanatokea ingawa huyo aliyetengeneza sauti kufanana na ya kwaangu yupo vizuri sana.

Sauti ya Wema pamoja na Mbowe ilivujishwa miezi michache baada ya muigizaji huyo pamoja na mama yake kuhamia upinzani wakitokea CCM kwa madai ya kutaka kutumikia chama chenye demokrasia ya kweli.

COMMENTS

Name

Documentary,61,Entertainment,1527,Fashion,80,Gossip,708,Health,180,Life Style,1070,Love Zone,220,Movie,117,Music,378,News,928,Photos,271,Sports,186,Top 10,25,Video,1066,
ltr
item
Tubonge TZ: Video: Wema Sepetu afungukia madai ya kutoka kimapenzi na Mh Mbowe
Video: Wema Sepetu afungukia madai ya kutoka kimapenzi na Mh Mbowe
https://3.bp.blogspot.com/-vUXnKGxilno/WbIboqBuciI/AAAAAAAAbFs/InXPFPwSke4GI58xHOmAHUl6GHO04sLrQCLcBGAs/s1600/Wema%2BSepetu.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-vUXnKGxilno/WbIboqBuciI/AAAAAAAAbFs/InXPFPwSke4GI58xHOmAHUl6GHO04sLrQCLcBGAs/s72-c/Wema%2BSepetu.jpg
Tubonge TZ
http://www.tubongetz.com/2017/09/wemasepetu.html
http://www.tubongetz.com/
http://www.tubongetz.com/
http://www.tubongetz.com/2017/09/wemasepetu.html
true
4819136446649942822
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy